Showing posts with label sharobaro. Show all posts
Showing posts with label sharobaro. Show all posts

Wednesday, May 11, 2011

Masharobaro Wafa Gongo la Mboto

Masharobaro wote walikufa Gongo la Mboto kutokana na majibu yao.
Lala chini bomu hilo!
Ntachafuka Men
Panda lori
Nasubiri taxi men
Zima Simu
Naongea na  bby men

Friday, April 1, 2011

SHAROBARO NA KIKOMBE CHA BABU LOLIONDO

Sharobaro kaenda Loliondo si akapewa kikombe cha dawa, akasogea chini ya mti kwa muda bila kunywa huku kashikiliasuruali yake isidondoke. 
Mchungaji: Mbona hunywi dawa?
Sharobaro: NASUBIRI MRIJA MEN!!