Wednesday, May 11, 2011

Mungu hazimtoshi

Watoto walikuwa wanacheza, mara mwenzao akaanza kulia. Akapita mtumishi wa Mungu akamuuliza
Mtumishi: Unalia nini?
Mtoto: Natafuta yeboyebo zangu kuna mtu amezichukua...!
Mtumishi wa Mungu: POLE NYAMAZA MWACHIE MUNGU TU
Mtoto: MUNGU HAZIMTOSHI ZILIKUWA NDOGO SANA!

No comments:

Post a Comment