Friday, May 6, 2011

Nikifa utaolewa tena?

Mume: Mke wangu nikifa utaolewa tena?
Mke: Ndio, itategemea

Mume: Utampa gari yangu aendeshe?
Mke: Mh! Nadhani
Mume: Utamuacha akae kwenye kiti changu sebuleni?
Mke: Labda
Mume: Utamuacha avae suti yangu nzuri?
Mke: No, ye ni mfupi kidogo yako haitamtosha

No comments:

Post a Comment