Friday, May 20, 2011

SHEIKH YAHAYA HUSEIN AFARIKI DUNIA


Mnajimu wa Afrika Mashariki Sheikh Yahaya Hussein amefariki dunia leo nyumbani kwake mwembe chai jijini Dar es salaam, saa 4 asubuhi

Sheikh Yahaya alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya moyo.

No comments:

Post a Comment