Friday, September 9, 2011

Liyumba mahakamani kwa kukutwa na simu gerezani

 Aliyekuwa Mkurugenzi wa Utumishi na Utawala katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Amatus Liyumba akiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashitaka ya kumiliki simu akiwa gerezani. (Picha na Yusuf Badi).

No comments:

Post a Comment