Tuesday, February 7, 2012

TOP 10 YA KAULI ZENYE CHANGAMOTO

  1. "Mtakula nyasi ndege ya rais inunuliwe" - Mramba
  2. "Foleni Dar ni ishara ya maisha bora" - JK
  3. "Acheni wivu wa kike" -Mkapa
  4. "Asiyeweza kulipa nauli kwenye kivuko apige mbizi" -Magufuli
  5. Baada ya kutumia Helicopter ya jeshi kwenda nayo kwao Urambo - "Mlitaka nipande punda?" Kapuya
  6. "Wabunnge wa Dar wanafikiri kwa kutumia makalio" - Masaburi
  7. "Mnauliza mvua kwani mimi  waziri wa mvua?" - Wassira
  8. "Ngeleja kila siku ananinunulia chai wakati nina uwezo wa kujilipia" - Anne Kilango
  9. "Graduates msio na kazi kafugeni kuku, biashara hii inalipa sana" - Mahiza

No comments:

Post a Comment