Wednesday, December 21, 2011

Ana Wake 39, Watoto 94 , Wajukuu 33


  

  
Ziona Chana mwenye umri wa miaka 67 wa nchini India ndiye mume wa wake 39 wanaoiunda familia yake yenye watoto 94 na wajukuu 33 ambapo familia nzima inaishi pamoja kwenye jumba kubwa lenye vyumba 100.

No comments:

Post a Comment