Wednesday, December 21, 2011

Utamu wa Mapenzi Ndani ya Gari....


  

  
Wapenzi wawili wa nchini China waliokuwa wakifanya mapenzi ndani ya gari walinusurika kuiaga dunia baada ya kunogewa na malavidavi na kuliacha gari likienda lenyewe na kugonga na kuuvunja ukuta wa jengo la maegesho ya magari.

No comments:

Post a Comment